News and Events Change View → Listing

Mhe. Eng. Aisha S. Amour akiwa na Sheikh Mohamed Al-Sabah, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kilimo na Uvuvi

Tarehe 10 Machi, 2020, Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, atembelea ofisi za Mamlaka ya Kilimo na Uvuvi ya Kuwait na kufanya mazungumzo na Mtukufu Mohamed Al-Yousef Al-Sabah,…

Read More

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour akutana na Sheikh Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al Sabah, Gavana wa Ahmadi

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, leo tarehe 9/3/2020 atembelea ofisi za Gavana wa Mkoa wa Ahmadi, Kuwait na kufanya mazungumzo na Mhe. Sheik Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al-Sabah,…

Read More

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini kuwait akutana na kufanya mazungumzo na Bw. Mohammad Turki

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini kuwait akutana na kufanya mazungumzo na Bw. Mohammad Turki, Rais wa Makampuni ya Turki Mills na Al-Oqoud General & Trading Construction Co. kwa…

Read More

Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour akutana na Sheikh Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al Sabah, Gavana wa Ahmad

Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour amekutana na viongozi wa Kampuni ya Al Homaizi Food Industry ambayo ni Kampuni mama ya AlRifai kuhusu fursa za uwekezaji na biashara nchini…

Read More

Balozi Mhandisi Aisha S. Amour akiwa na Uongozi wa Kampuni ya AlBader International Dev. Co

Balozi Mhandisi Aisha S. Amour akiwa na Uongozi wa Kampuni ya AlBader International Dev. Co

Read More

AFRICA DAY CELEBRATION 2019

Mheshimiwa Mhandisi Aisha Salim Amour, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Kuwait, ashiriki katika Maonyesho ya Nchi za Afrika yaliyofanyika mwezi Desemba 2019.  Kila mwaka Balozi za Nchi za…

Read More

Mhe. Dkt. Mahadhi J. Maalim akutana na Bw. Rakan Alghanim, Mjumbe wa Bodi ya Al-Awama Company

Mhe. Dkt. Mahadhi J. Maalim akutana na Bw. Rakan Alghanim, Mjumbe wa Bodi ya Al-Awama Company

Read More

39th Ordinary Summit of SADC Heads of State and Government

COMMUNIQUE OF THE 39TH SADC SUMMIT OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENTJULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE DAR ES SALAAM, UNITED REPUBLIC OF TANZANIA17 – 18 AUGUST 20191. The 39th Ordinary Summit of…

Read More