Mhe. Balozi Mhandisi Aisha S. Amour atembelea kiwanda cha kuchakata nafaka na mazao mchanganyiko cha Al Homaizi Food Industry cha nchini Kuwait. Al Homaizi ni Kampuni mama ya Alrifai ambayo imeanza kununua korosho za Tanzania na kusafirisha nchi za Ghuba ikiwemo Kuwait.
Mhe. Balozi Mhandisi Aisha S. Amour atembelea kiwanda cha Al Homaizi Food Industry
Mhe. Balozi Mhandisi Aisha S. Amour akiwa katika maabara ya kiwanda cha Al Homaizi Food, akipewa maelezo namna ya upimaji ubora wa nafaka na mazao mchanganyiko kabla ya kuchakata na baada.