Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini kuwait akutana na kufanya mazungumzo na Bw. Mohammad Turki, Rais wa Makampuni ya Turki Mills na Al-Oqoud General & Trading Construction Co. kwa madhumuni ya fursa za uwekezaji na biashara nchini Tanzania.
Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini kuwait akutana na kufanya mazungumzo na Bw. Mohammad Turki
