Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour amekutana na viongozi wa Kampuni ya Al Homaizi Food Industry ambayo ni Kampuni mama ya AlRifai kuhusu fursa za uwekezaji na biashara nchini Tanzania.