Balozi Mhandisi Aisha S. Amour akiwa na Uongozi wa Kampuni ya AlBader International Dev. Co

  • Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait akiwa na Bw. Yousef Al-Bader, Mwenyekiti na Dkt. Ali R. Mahmoud (PhD), Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Miradi kwa ajili ya majadiliano kuhusu fursa za uwekezaji Tanzania.