Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini kuwait akutana na kufanya mazungumzo na Bw. Mohammad Turki, Rais wa Makampuni ya Turki Mills na Al-Oqoud General & Trading Construction Co. kwa madhumuni ya fursa za uwekezaji na biashara nchini Tanzania.