Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, leo tarehe 9/3/2020 atembelea ofisi za Gavana wa Mkoa wa Ahmadi, Kuwait na kufanya mazungumzo na Mhe. Sheik Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al-Sabah, Gavana wa Mkoa wa Ahmadi.  Mkoa wa Ahmad ni kati ya Mikao saba iliyopo nchini Kuwait, Mikoa mingine ni Hawally, Jahra, Mubaraka Al Kabeer, Kuwait, Asimah na Farwaniyah

  • Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, akiwa na Mhe. Sheikh Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al Sabah pamoja na Maafisa wa Ubalozi Bi. Mtumwa S. Bakari na Bw. Yussuf A. Juma.
  • Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, akipokea zawadi kutoka kwa Mhe. Sheikh Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al Sabah, Gavana wa Mkoa wa Ahmadi, Kuwait