Mhe. Balozi Mhandisi Aisha s. Amour afanya mazungumzo na Mhe. Balozi Abdulhamid Al-Failakawi, Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje ya Kuwait anayeshughulikia masuala ya Bara la Afrika kwa lengo la kuendeleza ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Kuwait.