Kampuni ya Tanchoice ya Tanzania imeanza kuuza Nyama ya Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo kutoka Tanzania nchini Tanzania.  Nyama hiyo inapatikana katika maduka ya vyakula ya LULU HYPERMARKETS ya nchini Kuwait.