Mhe. Mhandisi Aisha S. Amour, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait afanya mazungumzo na Bw. Osama Abdul Mohsen Abdulla Al Roudhan, Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Al Faoz General Tranding and Construction Company.  Katika mazungumzo hayo, Bw. Osama aliambatana na Bw. Ali Baasas, Mtanzania ambaye anaishi na kufanya kazi nchini Kuwait.